Mimi "Kuukulia Ukweli wa Mungu" niko katika mchakato wa kuukuli ukweli wa MUngu wa pekee wa kweli.
Mungu wa peke wa kweli akubariki kwa abaraka zote za kiroho katika
ulimwengu wa Roho ndani ya Kristo Yesu {Efe. 1:3} kwa kunipokea kama
nilivyo wala kuwakataza kwa namana yoyote ile wale ambao Mungu wa pekee
wa kweli amewajalia Nuru ya kujiingiza katika mchakato huu ulio himizwa
katika Barua ya kichungaji ya Mtakatifu Papa Yohani Paulo II aliyoipa
jina "UT UNUM SINT" ikiwa na maana " ILI WAWE UMOJA"
Dira zetu za
kuukulia ukweli wa Mungu kweli ni Neno la Mungu {Yn.8:31-32} na nyaraka
za kichungaji za mababa { mapapa} wa kanisa kama tunavyo endelea
kufundishwa na dira hizo mbili.
Mungu atuepushe na kila aina ya uzushi kutoka kwa yeyote awaye yule. MUNGU ATUBARIKI SOTE. Amina.
Wednesday, 4 October 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment