Katika safari yetu hiyo tumekutana na ukweli usiopingika kwamba pepo wamejiita "Legioni "kutokana na wingi wao (Mk.5:9).
Ambao kwao Mwinjili luka yeye amekazia Jina " Jeshi "(Lk.8:30).
Katika hali hiyo ya uwingi wao .pepo watambulikana kuwa "Mtu wa kuasi,mwana wa uharibifu,yule mpingamizi ajiinuaye nafsi yake juu ya Kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa.hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu akijionesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu." 2Thes.2:3--4
Katika hali ya kuwa nje ya ukweli huu,Dunia yote pia tumekuwa katika kosa la kumtambua Baba na Mkombozi wetu aliye utimilifu wote,kuwa Mungu.
Sasa ,baada ya kuona jinsi pepo katika uwingi wao na mbinu yao ya kujitengenezesha kuwa Mungu wa kuabudiwa, Nje kabisa ya Muumbaji mwenyewe na taratibu na utukuzwaji wake,baada ya kunua utimilifu wake usio na upungufu wowote,na baada ya kuhakikishiwa kwamba Muumba wetu ni Roho (Yn.4:23---24)aliye Umoja usiogawanyika wa nafsi Tatu:Kweli ,Neno la Kweli na Uzima wa milele (1Yn.5:8).Itakuwa kioja na Ubatili mtupu kumfikiria Baba wa mababa naye ni miongoni mwa hao Miungu akilitumia Jina lililobuniwa na hao adui zake ajiinulie Nafsi zake Tatu.
Muumbaji wetu hawezi kuwa Mungu .Muumba wetu Yeye ni Kweli (Yn3:33;. 8:26). Ibilisi aliye Mwuaji au mwana wa uharibifu 2Thes.2:3 Ndiye aliye Mungu wa dunia .Yeye aliye Roho huenenda na watu wake kwa Roho na Kweli (Yn.4:24; Gal 5;16--17)Huzichukia Ibada za kimwili Yer.7 yote ,. 44 Yote,. Isa.66:1---4;. 1:10---18;. Zab.50:7---23;. Amo.5;21--27.
Hii ndiyo hatma ya safari zetu za " kuukulia ukweli wa Mungu ". Na ile ya " Kumjua Mungu " Mungu ni yule. "Pepo". Anayepigana na Muumba (Gal .5:16--23) Ile Roho ya upotevu aishilie mbali .Tuongozwe sasa na Roho wa Kweli tu ( 1Yoh .4:6
Marikiwe



0 comments:
Post a Comment