Thursday, 4 February 2021
MAANA YA NENO " CATHOLIC" NA IMANI YETU B
MAANA YA NENO "CATHOLIC" NA IMANI YETU B.
Kwa maelezo hayo yote kuhusu neno "CATHOLIC" sisi ambao Biblia imetufikisha kwenye ukweli kwamba Muumba na Mkombozi wetu ni kusanyiko la zile nafsi Tatu za juu mbinguni ni katoliki kwamba zimekuwa "inluded" kama kundi maaluma ambalo wenyewe hawapitani kwa lolote lile, na kwamba halichangamani na chochote nje yao kama walivyo
Kanisa (kusanyiko) la Nafsi kweli, Neno la kweli na Roho wa kweli ni katoliki kweli kweli.
Ndiyo maana tuna kila sababu ya kuamini 💯% kwamba Muumba na Mkombozi wetu ni KANISA KATOLIKI LA NAFSI TATU: KWELl, NENO LA KWELI NA ROHO WA KWELI.
Chochote kile nje ya ukweli huu kama ulivyo ni " EXCLUDED" kimetupwa nje pamoja na mkuu wao (Yn.12:31), mungu wa dunia hii (2 kor 4:3-4).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment