Thursday, 4 February 2021
NENO "KWELI" KAMA JINA WALA Si SFA .A
NENO "KWELI" KAMA JINA WALA SI SIFA.
Katika SMS yetu "KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO1. tumeona jinsi Biblia yenyewe ilivyotuhakukishia ukweli wa neno "KWELI" kwamba ni jina wala si sifa.
Lakini kwa kusimama katika " Webster's 1828 Dictionary" kamusi yaBiblia inatupatia neno "variety" lenye uwingi "varieties" na kulihusianisha na 1Tim.2:4 inayotuambia ile habari ya muumba anayetaka watu wote waokolewe na kupata kujua yaliyo kweli kwa tendo la kufikishwa kwenye ukweli kwamba Muumba na mkombozi wetu ni "kanisa katoliki la nafsi Kweli , Neno la kweli na Roho wa kweli" tuna kila haki ya kuamini kwamba yale mapenzi ya muumba na mkombozi wetu "1 Tim.2:4" yametimilika 💯%
Ukweli huu unapelekea ule ukweli wa maombezi ya kristo Neno la kweli kwamba watu wake nao wawe ndani ya yenye aliye kanisa katoliki, ili nao wawe kama yeye .wenyewe alivyo Yn.17:21-24, baada ya kuwatakasa sawasawa na (Yn.17:17;19; efe.5:26-27).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment