Subscribe:

Sample text

Sample Text

Thursday, 4 February 2021

MASKANI YA MUUMBA NA MKOMBOZI WETU NI WAPI?C

MASKANI YA MUUMBA NA MWOKOZI WETU NI WAPI?C Pindi maskani halisi ya muumba na mwokozi wetu ni kanisa katoliki la nafsi kweli neno la kweli na Roho wa kweli lipo kanisa katoliki la Roma, ambalo ni la mungu wa dunia hii 2kor.4:3-4 Pindi la kwanza ni la muumba na mwokozi mwenyewe hili la pili ni la wale wa tabaka chini duniani Pindi la kwanza lina kwenda katika Roho na kweli sawasawa na uasilia na uhalisia wa muumba na mwokozi wenyewe, hawa walio tabaka la chini duniani huenenda kireligion na ibada zao za kimwili Hivyo kuna kanisa katoliki la juu mbinguni na kanisa katoliki la chini duniani.

0 comments:

Post a Comment