Subscribe:

Sample text

Sample Text

Thursday, 4 February 2021

MBINGUNi KWAINGILIKA SASA HIVI A

MBINGUNI KWAINGILIKA SASA HIVI A. Kwa kusimamia 1 kor.2:13; tumeisafiri 1 yoh.5:8 kwa kuachana kabisa na maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyasafiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni hata tukaufikia ule ukweli tulioufikia, kwamba Muumba na mkombozi wetu ni umoja wa Nafsi "KWELI, NENO LA KWELI NA ROHO WA KWELI" Na kwa kuzingatia ukweli wa Efe.1:22-23,ile aya ya 23 hutuhitimishia ukweli kwamba hilo kanisa ndio mwili wake, ambao ni ukamilifu wake yeye anayekamilisha vyote katika vyote. "The Bible" huongezea kusema " maana katika mwili huo hukaa kipimo chake kamili, Yeye afanyaye kila kitu kuwa kamili, na ambavyo huujaza ule uyeye wake mwenyewe kila kitu,kila mahali" Hii imetufikisha kwenye ukweli kwamba Muumba na mkombozi wetu ni kanisa katoliki la nafsi kweli, neno la kweli na Roho wa kweli.

0 comments:

Post a Comment