Thursday, 4 February 2021
NENO "KWELI" KAMA JINA WALA SI SIFA B
NENO "KWELI" KAMA JINA WALA SI "SIFA".B
Ebr.10:14 hutuambia kwamba waliotakaswa hivyo hukamilishwa kwa kunyweshwa Roho wa kweli aliyemo ndani ya Neno la kweli (1kor.12:13;1Yoh.5:9) anayeaajumuisha ( include) katika kanisa katoliki la nafsi kweli neno la kweli na Roho wa kweli sawasawa na Efe.2:18-22.
Happy ndipo Lile ombi tuliloagizww katika Mt.6:9-10 litakapokuwa
Limetimizwa na ufalme wake kutimilika sawasawa na 2Kor.6:16-18 na kukomesha zile ndoto za yule mwongo ambazo na kutumia video yake.
Kwa hili siachi kusisitiza Lile jukumu linalotukabili wewe na Mimi. Nalo si jingine bali ni hali: "Nyuma geuka!! Kwa mwendo wa haraka mbele tembea!!!
Hongera.Na ubarikiwe sana kwa kufanikisha ufalme wa muumba na mwokozi wetu duniani, kanisa katoliki la nafsi kweli neno la kweli na Roho wa kweli, sasa na milele. Amina!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment