Hili ni swali nyeti linalotukabili kwa haki kabisa :kwamba baada ya Watatu kushuhudia na kuthibitisha kwamba mbingu inakaliwa na Roho(Yn.4:24)Aliye Umoja wa Nafsi Tatu : Kweli ,Neno la Kweli na Uzima wa milele .Kwamba Neno "Mungu " halipo kabisa mbinguni.
Harakati tulizozichukua kumtafuta aitwae "Mungu"Zikatufikisha kwa Mungu wa dunia hii aliye NDANI YA WASIOAMINI isiwazukie Nuru ya Injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu(2kor,4:3--4)
Tukamkuta Tena "Mungu " katika 2Thes,2:3--4iliyotueleza habari za yule Mtu wa kuasi ,Mwana wa uharibifu .Yule mpingamizi ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa ,Hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu akijionesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.
1kor,8:5 Hutueleza kwamba wako wengi hawa .Na torati ya Musa Vitabu 5 vya Kwanza vya Biblia hutueleza habari ya kuniinua kwake kwamba yeye ndiye Mungu na kudai watu washikamane naye((kumb,30:20)Haya yote yametufikisha kwenye ukweli wa Yn,8:44
Ambapo Kristo aliwaambia waisrael"Ninyi ni wa baba yenu Ibilisi Na tamaa za baba yenu -------nk
Kumbe ndiyo maana Mungu hayumo kati ya walio shuhudiwa mbinguni (1Yoh,5:8)Takasika na barikiwa sana kwa Kristo Neno la Kweli(Yn.17:17, 19. Efe,5:26--27).
Luka Chamayombe Mzumbe Morogoro
Monday, 27 January 2020
KWA KUWA MBINGUNI MUNGU HAYUPO YUKO WAPI. SASA?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment