Subscribe:

Sample text

Sample Text

Thursday, 4 February 2021

KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO6

KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO.6. Kwa kuenenda kwa jinsi ya kristo siyo tu kwamba tumefanikiwa kumjua muumba na Mkombozi wetu Hivyo,bali pia kwamba kwa kusimamia 1Yoh.4:6; 1Kor.2:12 na 1thes.5:23 Tumefanikiwa kumfahamu mtu kwamba ni nafsi akaaye mwilini akiwa ameungwa kuwa Roho moja na mume wetu Kristo (1kor.6:17; 2Kor.11:2) kwa kunyweshwa Roho wa kweli (1kor.12:13); au akiwa ameungwa kuwa mwili mmoja na kahaba malegioni au majini (Mk.5:9;Lk.8:30; 1Kor.6:15-16) Kwa njia ya Religion au Dini (2Thes.2:4).

0 comments:

Post a Comment