Subscribe:

Sample text

Sample Text

Thursday, 4 February 2021

KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO.6B

KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO.6B. Kwa maneno mengine ni kwamba mtu ni nafsi ikaayo mwilini ikiwa imenyweshwa Roho wa KWELI kuwa Roho moja na kristo neno la kweli ilikuzalishwa lile tunda Gal.5:22-23. Na hivyo kuwa mshiriki timilifu wa uzima wa milele juu mbinguni. Dhidi yake ni kwamba mtu huwa nafsi iliyoungwa kuwa mwili mmoja na Roho ya upotevu (1Yoh.4:6), ambavyo ni Roho ya dunia ( 1kor.2:12) iliyo ya mungu wa dunia hii (2kor .4:3-4),ibilisi (Mt.13:39; Yn.8:44) ili hiyo nafsi ipate kutumikishwa yale matendo Gal.5:19-21, na kwa. matendo hayo nafsi husika ibaki umarehemuni milele.

0 comments:

Post a Comment