Subscribe:

Sample text

Sample Text

Thursday, 4 February 2021

UTATA UNAOJITOKEZA

UTATA UNAOJITOKEZA KATIKA 1Tim.2:4. 1Tim.2:4 hutuambia kwamba mungu hutaka watu wote waokolewe na kupata kujua yaliyo kweli katika sms yetu "KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO 4"tumeona kwamba neno "mungu"ni la tabaka la chini, duniani, ambalo ni la mashetani. Katika SMS y yetu KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO 5 tumeona kwamba katika 1Yoh.4:6 na Ufu19:13, KWELI amelitupa nje jina "mungu" na kuchukua nafasi yake kama mbadala. Hivyo anayetaka watu wote waokolewe na kupata kujua yaliyo kweli katika 1Tim.2:4 si mungu, bali ni KWELI aliye mbadala wa mungu katika 1Yoh.4:6 na Ufu19:13.ukweli huu unathibitishwa na matendo ya mungu katika 2Kor.4:3-4 na 2Thes.2:10 Hata mwombwaji na mwombaji katika Yn.17:2-3 hawa wezi kuwa mungu na Yesu.

0 comments:

Post a Comment