Subscribe:

Sample text

Sample Text

Thursday, 4 February 2021

MASKANI YA MUUMBA NA MWOKOZI WETU NI WAPI? A

MASKANI YA MUUMBA NA MWOKOZI WETU NI WAPI?A Ujumla wa aya Yn.1:1-5;10:30;38; 14:9-10 na Yoh5:8 hutuhakikishia ukweli kwamba muumba na Mkombozi wetu ni mkusanyiko mmoja wa Nafsi Tatu ambao kila mmojawapo miongoni mwao hukaa katika ki mmojawapo miongoni mwao. Kwamba wao wenyewe ndio maskani yao wao wenyewe. 1Yoh.5:8 yaliita kusanyiko au jumuyiko lao wanamokaa wao wenyewe kuwa "mbiguni" kumbe mbinguni ni wao wenyewe katika kujumuiyika kwao. Efe.1:22-23 na kol.1:18 zauiita ule mkusanyiko "Hekali" au "kanisani," na kwa kule kujumuiyishwa kwao,wale nafsi Tatu ni "katoliki" Hivyo .muumba na Mkombozi wetu ni mbinguni aliye kanisa katoliki la nafsi kweli, neno la kweli na Roho wa kweli. Hili ndiyo kanisa halisi la juu mbinguni ambamo sote tunatakiwa tujumuiyishwe.

0 comments:

Post a Comment