Featured Posts
Monday, 8 March 2021
A hali tunazingatia ukweli.
A.Hali tunazingatia ukweli wa Yn.8:31-32 ambao ni sharti la kuwa mwanafunzi wa kristo kwelikweli, safari yetu ya kufuatilia roho hizi ianze 1Yoh.4:6.
Aya hii inatuonesha jinsi kweli anavyochukua nafasi ya mungu akiwa mmiliki wa roho ambaye anasigana na roho ya upotevu ambayo katika 1kor.2:12 imeoneshwa kuwa roho ya dunia.
Kwa kadiri ya Yn.8:23 na Yn.8:44 roho ya dunia ni ibilisi aliye mwuaji tangu mwanzo wala hakusimama katika kweli,asemapo uongo anasema yaliyo yake mwenyewe,maana yeye ni mwongo na baba wa uongo.
Kwa sifa yake hii, huyu roho ya dunia ndiye ambaye katika 2kor.4:3-4 anaitwa mungu wa dunia au katika Yn.12:31;14:30 na 16:11 anaitwa mkuu wa ulimwengu huu.
Hapa ndipo inapolala Siri ya ukweli wa post hii, kwamba kuamini uwapo wa shetani, ibilisi, majini na uchawi ni ishara ya kuwa waangalifu kwa uwepo wa adui ambaye angalikwamisha baraka zetu.
Paulo mtume anatuambia Wana juhudi kwa mambo ya mungu lakini si katika maarifa.
Sunday, 21 February 2021
Kumfahamu na kumjua kristo kabisa na kwa hakika.A.
Kutoka 24 : 1
Yohana 1:18
Mathayo11:27
Yohana 4:24
Matayo 13:55
Luka 11:27-28
Luka 8:19-20
Yohana 8:26
Yohana 17:4
Yohana 15:27
Ufunuo 19:12-13
Yohana 12:31
Yohana 14:30
Ufunuo 2:20
Thursday, 4 February 2021
NENO "KWELI" KAMA JINA WALA Si SFA .A
NENO "KWELI" KAMA JINA WALA SI SIFA.
Katika SMS yetu "KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO1. tumeona jinsi Biblia yenyewe ilivyotuhakukishia ukweli wa neno "KWELI" kwamba ni jina wala si sifa.
Lakini kwa kusimama katika " Webster's 1828 Dictionary" kamusi yaBiblia inatupatia neno "variety" lenye uwingi "varieties" na kulihusianisha na 1Tim.2:4 inayotuambia ile habari ya muumba anayetaka watu wote waokolewe na kupata kujua yaliyo kweli kwa tendo la kufikishwa kwenye ukweli kwamba Muumba na mkombozi wetu ni "kanisa katoliki la nafsi Kweli , Neno la kweli na Roho wa kweli" tuna kila haki ya kuamini kwamba yale mapenzi ya muumba na mkombozi wetu "1 Tim.2:4" yametimilika 💯%
Ukweli huu unapelekea ule ukweli wa maombezi ya kristo Neno la kweli kwamba watu wake nao wawe ndani ya yenye aliye kanisa katoliki, ili nao wawe kama yeye .wenyewe alivyo Yn.17:21-24, baada ya kuwatakasa sawasawa na (Yn.17:17;19; efe.5:26-27).
MAANA YA NENO " CATHOLIC" NA IMANI YETU B
MAANA YA NENO "CATHOLIC" NA IMANI YETU B.
Kwa maelezo hayo yote kuhusu neno "CATHOLIC" sisi ambao Biblia imetufikisha kwenye ukweli kwamba Muumba na Mkombozi wetu ni kusanyiko la zile nafsi Tatu za juu mbinguni ni katoliki kwamba zimekuwa "inluded" kama kundi maaluma ambalo wenyewe hawapitani kwa lolote lile, na kwamba halichangamani na chochote nje yao kama walivyo
Kanisa (kusanyiko) la Nafsi kweli, Neno la kweli na Roho wa kweli ni katoliki kweli kweli.
Ndiyo maana tuna kila sababu ya kuamini 💯% kwamba Muumba na Mkombozi wetu ni KANISA KATOLIKI LA NAFSI TATU: KWELl, NENO LA KWELI NA ROHO WA KWELI.
Chochote kile nje ya ukweli huu kama ulivyo ni " EXCLUDED" kimetupwa nje pamoja na mkuu wao (Yn.12:31), mungu wa dunia hii (2 kor 4:3-4).
MAANA YA NENO "CATHOLIC" NA IMANI YETU A
MAANA YA NENO "CATHOLIC" NA IMANI YETU A.
Kamusi ya kiingereza hututafsiria Neno Catholic kwa maelezo "including a wide variety of things"
Kifungu cha maneno
"a variety of" kimeelezwa kwa "a number of things of the same general class that are distrinct in character or quality"
Neno "class" nalo limetafsiriwa kwa "a set or category having a property or feature in common others by kind or quality".
" A set" imetafsiriwa kuwa
"a group of people with common interests or occupation."
Na "category" nayo imetafsiriwa kuwa "a class or division of people or things having particular chacteristics."
MASKANI YA MUUMBA NA MKOMBOZI WETU NI WAPI?C
MASKANI YA MUUMBA NA MWOKOZI WETU NI WAPI?C
Pindi maskani halisi ya muumba na mwokozi wetu ni kanisa katoliki la nafsi kweli neno la kweli na Roho wa kweli lipo kanisa katoliki la Roma, ambalo ni la mungu wa dunia hii 2kor.4:3-4
Pindi la kwanza ni la muumba na mwokozi mwenyewe hili la pili ni la wale wa tabaka chini duniani
Pindi la kwanza lina kwenda katika Roho na kweli sawasawa na uasilia na uhalisia wa muumba na mwokozi wenyewe, hawa walio tabaka la chini duniani huenenda kireligion na ibada zao za kimwili
Hivyo kuna kanisa katoliki la juu mbinguni na kanisa katoliki la chini duniani.
MASKANI YA MUUMBA NA MWOKOZI WETU NI WAPI?B
MSKANI YA MUUMBA NA MWOKOZI WETU NI WAPI?B
Kwa kadiri ya Yn.10:16;11:52;14:20, nikusudio la muumba na mwokozi wetu kwamba watu wote tujumuiyishwe katika Yeye kanisa katoliki la nafsi zake hizo tatu.
Si hivyo tu, katika Yn.17:21-24, kristo neno la kweli anatuombea hivyo kwamba katika kanisa katoliki la nafsi Tatu aliko yeye na sisi tuwemo.
Aya Yn.5:24;8:31-32; 14:15; 15:7 zatuonyesha taratibu au njia ya kupita na hii ni kwa sababu kristo ndiye aliyekuja katika maji ya uzima wa milele ulio Damu ya ukombozi msamaha wa dhambi 1Yoh.5:6,9 iliyoondoa ghadhabu yote katika Mwumba hata akasema "Ebr.10:17"
Kwa neno lake ajitakasia watu Efe 5:26-27 na kujijengea maskani yake hapa duniani sawasawa na Efe 2:18-19; na hivyo,kujirejesha ufalme wake hapa duniani 2kor.6:
MASKANI YA MUUMBA NA MWOKOZI WETU NI WAPI? A
MASKANI YA MUUMBA NA MWOKOZI WETU NI WAPI?A
Ujumla wa aya Yn.1:1-5;10:30;38; 14:9-10 na Yoh5:8 hutuhakikishia ukweli kwamba muumba na Mkombozi wetu ni mkusanyiko mmoja wa Nafsi Tatu ambao kila mmojawapo miongoni mwao hukaa katika ki mmojawapo miongoni mwao. Kwamba wao wenyewe ndio maskani yao wao wenyewe. 1Yoh.5:8 yaliita kusanyiko au jumuyiko lao wanamokaa wao wenyewe kuwa "mbiguni" kumbe mbinguni ni wao wenyewe katika kujumuiyika kwao. Efe.1:22-23 na kol.1:18 zauiita ule mkusanyiko "Hekali" au "kanisani," na kwa kule kujumuiyishwa kwao,wale nafsi Tatu ni "katoliki" Hivyo .muumba na Mkombozi wetu ni mbinguni aliye kanisa katoliki la nafsi kweli, neno la kweli na Roho wa kweli.
Hili ndiyo kanisa halisi la juu mbinguni ambamo sote tunatakiwa tujumuiyishwe.
UTATA UNAOJITOKEZA
UTATA UNAOJITOKEZA KATIKA 1Tim.2:4. 1Tim.2:4 hutuambia kwamba mungu hutaka watu wote waokolewe na kupata kujua yaliyo kweli katika sms yetu "KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO 4"tumeona kwamba neno "mungu"ni la tabaka la chini, duniani, ambalo ni la mashetani. Katika SMS y yetu KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO 5 tumeona kwamba katika 1Yoh.4:6 na Ufu19:13, KWELI amelitupa nje jina "mungu" na kuchukua nafasi yake kama mbadala. Hivyo anayetaka watu wote waokolewe na kupata kujua yaliyo kweli katika 1Tim.2:4 si mungu, bali ni KWELI aliye mbadala wa mungu katika 1Yoh.4:6 na Ufu19:13.ukweli huu unathibitishwa na matendo ya mungu katika 2Kor.4:3-4 na 2Thes.2:10 Hata mwombwaji na mwombaji katika Yn.17:2-3 hawa wezi kuwa mungu na Yesu.
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO.6B
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO.6B. Kwa maneno mengine ni kwamba mtu ni nafsi ikaayo mwilini ikiwa imenyweshwa Roho wa KWELI kuwa Roho moja na kristo neno la kweli ilikuzalishwa lile tunda Gal.5:22-23. Na hivyo kuwa mshiriki timilifu wa uzima wa milele juu mbinguni. Dhidi yake ni kwamba mtu huwa nafsi iliyoungwa kuwa mwili mmoja na Roho ya upotevu (1Yoh.4:6), ambavyo ni Roho ya dunia ( 1kor.2:12) iliyo ya mungu wa dunia hii (2kor .4:3-4),ibilisi (Mt.13:39; Yn.8:44) ili hiyo nafsi ipate kutumikishwa yale matendo Gal.5:19-21, na kwa. matendo hayo nafsi husika ibaki umarehemuni milele.
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO6
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO.6. Kwa kuenenda kwa jinsi ya kristo siyo tu kwamba tumefanikiwa kumjua muumba na Mkombozi wetu Hivyo,bali pia kwamba kwa kusimamia 1Yoh.4:6; 1Kor.2:12 na 1thes.5:23 Tumefanikiwa kumfahamu mtu kwamba ni nafsi akaaye mwilini akiwa ameungwa kuwa Roho moja na mume wetu Kristo (1kor.6:17; 2Kor.11:2) kwa kunyweshwa Roho wa kweli (1kor.12:13); au akiwa ameungwa kuwa mwili mmoja na kahaba malegioni au majini (Mk.5:9;Lk.8:30; 1Kor.6:15-16) Kwa njia ya Religion au Dini (2Thes.2:4).
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO5
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO.5. Katika Yn.8:26 Kristo Kalitaja jina la Baba yake aliyempeleka, ambaye kwa kadiri ya Yn.14:17;15:26 na Yn16:13 Baba amemliki kwa jina hilo "KWELI" na kwa jina hilo amelitupa nje jina mungu katika 1Yn.4:6 na Ufu19:13. Na kwa ukweli huu usiopi ngika tunawqpata wale watatu waluoshuhudia mbinguni kuwa ni umoja timilifu wa nafsi jina kweli, Neno la kweli na roho wa kweli na Roho wa kweli. Neno "Kweli" jina (Noun),wala sifa (Adjective).
Subscribe to:
Comments (Atom)


