Sunday, 21 February 2021
Kumfahamu na kumjua kristo kabisa na kwa hakika.A.
Thursday, 4 February 2021
NENO "KWELI" KAMA JINA WALA Si SFA .A
MAANA YA NENO " CATHOLIC" NA IMANI YETU B
MAANA YA NENO "CATHOLIC" NA IMANI YETU A
MASKANI YA MUUMBA NA MKOMBOZI WETU NI WAPI?C
MASKANI YA MUUMBA NA MWOKOZI WETU NI WAPI?B
MASKANI YA MUUMBA NA MWOKOZI WETU NI WAPI? A
UTATA UNAOJITOKEZA
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO.6B
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO6
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO5
KUENENDA KWA JIN$I YA KRISTO4
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO 3
CORRECTION 2
KUENENDA KWA JINSI YA KRISTO2
UTARATIBU WA KUTUMIA TORATI YA MUSA HAUHITAJIKI TENA
Aya Kol.2:17 na Ebr.10:1. Huelezea kwamba Muumba na Mkombozi wetu alitumia utaratibu wa kivuli katika torati ya Musa ,
Kwa kadiri ya Rum.10:4 na kol.2:13---15, lengo lilikuwa kuifuta na kuiondoa kabisa torati ya akina Mungu .Na kadiri ya 1kor.2:6--8, Hilo lilikuwa lifanyike bila ufahamu wa akina Mungu ili wajikaange kwa mafuta yao wenyewe.
Baada ya kulihitimisha na kulifanikisha 💯% lengo kusudiwa ,Muumba na Mkombozi wetu amejishuhudia mwenyewe Kama ilivyo katika 1Yoh .5:8 na kwa mujibu wa 1kor.2:13, ushuhuda ukafasiliwa kwamba Muumba na Mkombozi wetu ni ROHO (Yn 4:24) ALIYE. UMOJA WA NAFSI TATU ; KWELI ( Yn.8:26). NENO LA KWELI(Ufu.19:12--13) na ROHO WA KWELI (1Yoh .4:6).
Hivyo ,katika ujumla wake Yeye ni KWELI,Aliye juu ya yote,Atendaye Kazi katika yote na Ndani ya yote(Efe.4:6)
Mkombozi wetu ni Neno la Kweli .na Muunganishi wao ni Roho wa Kweli,kwa kuwa kusudi limetimilika,Utaratibu wa kivuli katika torati ya Musa na majina yake "Mungu " na "YESU" hauhitajiki Tena ,
Kwa kuwa majina Haya ya Torati ya Musa .Huwapa fursa waasi kuniinua nafsi zao juu ya kila kiitwacho Mungu kusatumikisha watu kiibada Kinyume Cha Muumba na kuwafanya watu wasiikubali Kweli ili waokolewe (2Thes.2:3--4, 10.
2Tim.4:3--4, 2Kor4:3--4)
Ni wakati Sasa watu wayahesabu majina Haya Kama Mavi kwa Usalama wao wa milele uliyomo katika Kristo Neno la kweli. ( Filp.3:8)
Na sasa tuangazwe na Mwanga wa Kristo Neno la Kweli milele.Na sio baada ya kifo Cha mwili.
Baarikiwa sana


